24 September, 2014

HAKERS WATISHIA KUVUJISHA PICHA CHAFU ZA MUIGIZAJI WA HARRY PORTER EMMA WATSON KUFUATIA HOTUBA YAKE YA UN







Staa wa filamu ya ‘Harry Potter’, Emma Watson alitoa hotuba kwenye Umoja wa Mataifa kuwataka wanaume kuungana katika harakati za usawa wa kijinsia. Hackers wametishia kuvujisha picha za utupu za mrembo huyo ambaye ameamua kujitolea kutetea haki za wanawake.
Sony Ericsson Empire Film Awards: Winners Boards
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, mtandao wa 4chan ambao umevujisha picha za mastaa kibao wa Marekani siku chache zilizopita umeweka tangazo lenye picha ya muigizaji huyo na kudai kuwa picha zake zitaingia mtandaoni siku nne zijazo.
Mtu aliyeweka post hiyo ameandika: Watson makes stupid feminist speeches at UN, and now her nudes will be online, HAHAHAHAHAHAHAH,” claiming that it is really going to happen. Feminist bi**h was going to show the world she was as much of a wh**e as any woman.”
Hadi sasa picha za mastaa mbalimbali wakiwemo Kim Kardashian, Rihanna na wengine zimevuja.
Itazame hotuba hiyo hapo juu.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...