27 September, 2014

HIVI NDIVYO ILIVYOKUA JANA KATIKA MAANDAMANO YA CHADEMA JIMBO LA UBUNGO


Wananchi wa jimbo la UBUNGO  kutoka chama cha CHADEMA jana waliamua kuandamana kwa kile wanachodai kuwa ni kupinga mchakato wa bunge maalum la katiba unaoendelea ambapo hilo ni tekelezo la agizo la mkutano mkuu wa chama hicho










No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...