KIJANA ANAYESTAHILI SIFA KWA UTAALAM WAKE BILA KWENDA DARASANI INGAWA NI UHALIFU: ANASWA LAIVU KWA KUUNDA MTAMBO WA KUWAIBIA AZAM TV, ZUKU, DSTV; AKIRI KUFANYA SHUGHULI HIYO KITAMBO!
Katika hali ya kushangaza, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Ali, mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amekamatwa na polisi baada ya kudaiwa kuunganisha visivyo halali, mitambo ambayo iliwawezesha watu kuangalia matangazo ya televisheni ya vituo mbalimbali kwa malipo rahisi.
chanzo: GPL
No comments:
Post a Comment