Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka Nyamisati wilayani
Rufiji kwenda wilayani Mafia kuendelea na ziara yake katika mkoa wa
Pwani
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipanda pia boti kutoka
Nyamisati wilayani Rufiji kwenda wilayani Mafia kuendelea na ziara ya
Kinana katika mkoa wa Pwani.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akisafiri na wananchi katika boti kutoka Nyamisati kwenda wilayani Mafia katika mkoa wa Pwani
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili
Mafia na timu yake. nyuma yake ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,
Nape Nnauye
Umati
wa watu ukiwa umejazana kwenye bandari ya Mafia kumlaki Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aliyewasili Mafia kwa kutumia boti akitokea
Nyamisati.
Baadhi
ya waandishi wa vyombo mbali mbali vya habari walioambatana na Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana na timu yake katika ziara ya Mkoa wa Pwani.



.jpg)


.jpg)

No comments:
Post a Comment