25 September, 2014

MASHABIKI NA WAPENZI WA DIAMOND MMEISIKIA HII??

Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za ‘All Africa Music Awards’ AFRIMA 2014. Majina hayo ya wasanii watakaowania tuzo hizo mwaka huu yalitangazwa Jumanne hii, September 23, 2014 Protea Hotel Leadway, Maryland Estate, Lagos, Nigeria.
Diamond ametajwa kwenye vipengele viwili, Mafikizolo, 6, Davido, 6 AmrDiab (Egypt) 2, Zahara (South Africa) 3, Angelique Kidjo (Benin Republic) 2, FallyIpupa (DRC) 1 , Sakordie (Ghana) 1, Tiwa Savage, 2, Uhuru (South Africa) 5, Mi Casa (South Africa) 4.
Upigaji kura unatarajiwa kuanza Jumanne, Sept. 30 ambao utachukua wiki tano. Tuzo hizo zitatolewa November 9, 2014.
Tofauti na tuzo zingine, wasanii wanatakiwa kuwasilisha kazi zao kwa jopo la AFRIMA ambapo kazi hiyo ilianza May 15 na kufungwa July 21. Jumla ya kazi 2,025 zilipokelewa kwa uchambuzi.
Jopo la majaji wa AFRIMA ambalo linaundwa na wadau wa muziki barani Afrika, walikuwa jijini Lagos, kuanzia July 31 hadi Aug. 6 kuchambuzi kazi hizo.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...