Amber ameomba talaka kwa mume wake aliyedumu naye kwa mwaka
mmoja. Amber Rose aliwahi kuwa mpenzi wa Kanye, siku za hivi karibuni
amekuwa karibu na meneja wake, Nick aliyekuwa mume wa Mariah Carey.

Rose anataka kuchukua udhibiti wa mtoto wao Sebastian, mwenye umri wa mwaka mmoja, kwa mujibu wa TMZ. Atamruhusu Wiz kumtembelea mwanae. TMZ imedai imeziona nyaraka za talaka ambazo zinaonesha kuwa wapenzi hao waliachana Jumatatu hii kwa kile kilichodaiwa tofauti zisizosuluhishika.

No comments:
Post a Comment