09 September, 2014

NYANGUMI ALIYEIBUKA PWANI YA MTWARA




Mzoga wa samaki aina ya nyangumi ukiwa katika pwani ya Bahari ya Hindi mkoani Mtwara baada ya kuvutwa ukielea majini na wavuvi wa Kata ya Msangamkuu. Mzoga huo una urefu wa futi 48 na uzito unaokadiriwa kuwa zaidi ya tani 30.

Wananchi kutoka katika Kata ya Msangamkuu,…

Wakazi wa Mtwara wakiukata mzoga huo.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...