24 September, 2014

SAMWEL SITTA AMWAGA SIFA KWA CHAMA KIPYA CHA ACT NDANI YA BUNGE!

Mwenyekiti wa Bunge la katiba ndugu Samwel Sitta ameendelea kudhihirisha kwa umma wa watanzania juu ya uwepo wa chama cha siasa kilichopata usajili ndani ya muda mfupi sana cha ACT-Tanzania.

Huku akionekana kufurahishwa na ujio wa chama hiki Samwel Sitta anasema..."Wageni wengine ni Katibu wa ACT-Tanzania Jimbo la UBUNGO, chama hiki ni kipya ila kinakuwa kwa kasi sana...mwisho wa kunukuu" Hapa alikuwa anafanya utambulisho kwa wageni wawili wa chama hiki cha ACT-TANZANIA toka jimbo la UBUNGO waliofika kusikiliza uwasilishaji wa katiba mpya inayopendekezwa.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...