24 September, 2014

VIKONGWE WAFUNGA NDOA HUKO KAGERA

Habari ndio hiyooooooooo.... Ndoa hii ime happen huko Kagera ikihusisha vikongwe viwili wiki chache zilizopita ambapo chanzo cha habari hii kinaeleza wawili hao walikuwa kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili kabla ya kuamua kufunga pingu za maisha.
According to the same source, this man has found himself marrying very lately because he spent his much time at school, and the lady was a widow.

 Her departed husband passed passed away some years ago and remain disappointed on the issues related to affairs, for she was left old one already.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...