25 September, 2014

TAZAMA HAPA MABASI YAENDAYO KASI YAKIWA KWENYE MAJARIBIO JIJINI DAR ES SALAAM

basi la mwendo kasi jijini Dar Es Salaam
Mmoja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa sehemu ya majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la usafiri katika jiji la Dar Es Salaam.

Mmoja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...