25 September, 2014

UGANDA: MWANAMKE ABAKA WATOTO WAKIUME WAWILI! AWALAZIMISHA WAMUINGILIE KIMWILI USIKU WA MANANE!!


Vitendo vya ngono nchini Uganda vimesababisha maambukizi makubwa ya Ukimwi... Mwanamke wa miaka 37, Adong anashikiliwa na Polisi huko Gulu nchini Uganda kwa kosa la kuwaingilia watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 14 na 15 ambao vilevile ni wenye undugu na yeye! Aliwaingilia watoto hao alipokwenda kuwatembelea wazazi wao na ndipo usiku akanyata na
kuingia chumbani mwao na kuwashawishi bila aibu wamle uroda! Ilitokea baba yao aliwasikia wanae wakijadili juu ya “utamu” na ndipo akaiarifu polisi nao hawakuzubaa na kumtia ndani. Akitiwa hatiani anaweza kufungwa miaka 7 au maisha! Mambo hayo!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...