10 September, 2014

ULIWAHI KUONA MBWA ANAE FANYA KAZI KAMA BINADAMU?

 
Kutana na Lemon, mbwa anayependa kufanya
kazi za nyumbani kama binaadam. Lemon hupenda kwenda kuchota maji na anaweza
kulima vizuri kwa kutumia jembe la plau.
Mmiliki wake, Alexander Matitsyn alimnunua
Lemon baada ya kustaafu kazi ya jeshi.
Fani yake akiwa katika jeshi la Urusi ilikuwa
kufunza mbwa jinsi ya kutekeleza majukumu
mbalimbali, hivyo si ajabu aliweza
kumfundisha Lemon 'ujanja'.
"Hupenda kujifunza na kujaribu mambo
mapya na huwa hasahau" amesema bwana
Matitsyn.

Ads by Cinema-Plus-1.5cAd Options

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...