Bermuda triangle ni eneo katika uso wa Dunia ambalo linahusishwa na masuala mbalimbali ya nguvu za maajabu, ni eneo ambalo maelfu ya watu wamepoteza maisha, ndege na meli nyingi sana zimezama katika eneo hilo pasipo kujulikana zinaelekea wapi.
Wanasayansi wengi wamepoteza pesa zao pasipo kutoa majibu kuhusu maajabu ya eneo hilo na kila aliyeenda hajafanikiwa kutoka na inasemekana Zaidi ya ndege na meli 1000 zimepotea kwa muda wa miaka 500. Bermuda Triangle inapatikana Pwani ya kusini mashariki ya Marekani na iko katika bahari ya Atlantic.
Kona zake huunda pembe tatu ambazo ni Miami huko Marekani, San Juan Nchini Puerto Rico na Buermuda katika kisiwa kaskazini mwa kisiwa cha Atlantic. Ajali/mgongano kati ya kimondo na dunia Inasemekana kuwa Bermuda triangle ilitokea baada ya Dunia kugongana na kimondo huko angani miaka 11,000 iliyopita.
Mgongano huo ulitokea katika eneo la bahari la Dunia na kusababisha bahari kuzama kwa futi 10,000 chini ya usawa wa bahari. Kimondo hicho kiliacha mionzi ambayo husababisha ndege kupoteza uelekeo inapofika katika eneo hilo na kuzamisha meli, ndege pamoja na binadamu.
Viumbe vigeni viishivyo sayari nyingine (aliens).
Inasemekana kuwa
viumbe viishivyo angani, huwa vinakaa akatika eneo hilo la Bermuda
triangle na hilo ni kama Mecca yao. Viumbe hao wana teknolojia ambayo
hukinzana na teknolojia yetu ya Duniani, kwahiyo ndege, meli pamoja
na binadamu wanapopita pale huvutwa na kani ya uvutano ambayo ni kubwa
sana toka kwa wale viumbe waishio katika hilo eneo hilo la Bermuda.
Kituo cha majaribio ya silaha.
Kituo cha majaribio ya silaha.
Inasemekana serikali huwa
zinajaribia silaha ambazo zinakuwa zimetengenezwa na uangalizi wa silaha
hizo, pia inasemekana kwamba serikali ikishirikiana na viumbe watokao
sayari (Aliens) zingine huhusika
katika majaribio hayo.
Na hiyo teknolojia ni kubwa kiasi cha kukinzana na teknolojia ya duniani na hatimaye kusababisha madhara kwa meli na ndege pia.
Mji uliopotea Inasemekana katika eneo hilo kulikuwa na mji wa kale chini ya maji katika bahari ya Atlantic, ulioitwa Atlantis, mji huo ulikuwa umejengeka kwa barafu ambazo zilikuwa kama kioo ambazo pia zilikuwa ni chanzo cha nishati.
Na huo mji ulisahaulika milele kwahiyo Bermuda iko kwenye huo mji uliozikwa kitambo ambapo kuna kani kubwa ambayo huharibu meli na ndege.
Kituo cha Maharamia.

Inasemekana Bermuda ni eneo kwa ajili ya
maharamia kufanya kazi zao, maharamia hao ni wale wanaojulikana kwa
bendera nyeusi zenye picha ya fuvu.
Lakini dhana hii imeshindwa kuelezea ni kwanini ndege na meli huwa zinapotea katika eneo hilo kwani wachunguzi wa mambo wamehusisha na utekaji nyara wa meli baharini ambao hufanywa na maharamia hao.
Volkano.

Inasemekana Volkano pamoja na gesi ya methane katika eneo la Bermuda
hupunguza mgandamizo wa maji katika eneo hilo na kufanya meli kupoteza
uwezo wa kuelea na hatimaye kuzama.
Eneo hilo mlimekuwa likitoa gesi hiyo ya Methane tangu miaka 15,000 iliyopita. Ukungu wenye hali ya ki-electronic na sumaku. Ukungu wenye nguvu ya kuzalisha umeme ambapo husababisha dira hupoteza uelekeo na kuwachanganya marubani pamoja na manahodha.Na hatimaye ndege pamoja na Meli hizo hupotelea katika ilo eneo la Bermuda.
Mawimbi na hali ya hewa kubadilika kwa kasi.

Eneo la bahari ya
Atlantic hasa upande wa Caribbean hukumbwa na kimbunga kikali pamoja na
mawingu mazito, Bermuda ni eneo ambalo limepakana sana na Caribbean na
hukabiliwa na upepo na wingu zito ambavyo husababisha mushkeli kwa
ndege, meli pamoja na binadamu.
Je freemasons nao wanaweza kuwa wanatumia eneo la bermuda kama eneo la kafara kwao au la.??
Je freemasons nao wanaweza kuwa wanatumia eneo la bermuda kama eneo la kafara kwao au la.??
No comments:
Post a Comment