25 September, 2014

UNAMJUA ALIYECHUKUA NAFASI YA WIZ KHLAIFA BAADA YA KUTENGANA NA AMBER ROSE?

  Revealed ! The Real Reason Amber Rose Filed For Divorce - [ Look ]


Baada ya Amber Rose kutengana na mumewe Wiz Khalifah ambapo vyanzo nya karibu vimeiambia mitandao mikubwa nchini marekani kuwa utengano huo umekuja baada ya staa Amber Rose kutokea kumpenda Manager wake ambaye ni Nick Cannon,Amber alikuwa akimtamani Nick siku nyingi ingawaje alikuwa tayari kaolewa na Rapper Wiz Khalifa ila ndoa yake ilikuwa kikwazo cha kuwa na uhusiano wa kimapanzi na Nick Cannon

Moja katika ya mitandao mikuwa Dunia unaojulikana kwa jina la MediaTakeOut.com uliwahi kuripoti juu ya ndoa ya Amber N a Wiz Khalifa kuwepo matatani lakin Rapper Wiz Khalifa kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter aliandika hivi , 

"I think Amber is ready to move on with her life. And Nick is the man she wants to move on with." 

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...