08 October, 2014

AINGIA KAMA MAITI STEJINI KILICHOTOKEA NI SHEEEDAH ANGALIA


 Msanii chipukizi anaechupukia kwa kasi ya ajabu heri Michael kilema a.k.a Y tony Anaetamba na wimbo wake wa masebene na My shitobe  ameshangaza maelfu ya watu katika tamasha kubwa la fiesta lililofanyika mkoani Dodoma wiki end iliyopita katika uwanja wa jamhuri. Pale alipoingia jukwaani huku amefunikwa shuka kama maiti na kuingia na wimbo wakusikitisha ilifanya uwanja mzima kukaa kimya na kutaka kujua kitu gani kitafata ghafla baada yakupandishwa jukwaani kwa kubebwa ilisikika sauti ya wimbo wake wa masebene na hapo ndipo umati ule ulijua kuwa kumbe ni y tony ndio ameingia kwa style hii ya kipekee kabisa.zilipigwa shangwe za ajabu sana kiasi kila mtu alimkubali kijana huyo... uzuri wa huyu kijana  anauwezo wa kuimba na kucheza..kiukweli anajituma sana jukwaani alisikika shabiki akisema hayo maneno... shabiki mwengine nae alisikika akisema DIAMOND platnumz hajipange sana vijana wapya kama hawa ndio wanaeweza kumuangusha kwa maana huyu kijana speed yake ni kama kipindi diamond anatoka alikuwa hivi hivi.

 

Ytony akionyesha uwezo wake wakucheza

Nyota mpya ikiimba kwa hisia

 ROHO YANGU UKACHUKUA, MOYO WANGU UKACHUA, UKANIACHA SIONI MIMI MY SHITOBEEEEEE
 Y tony akiingia kwa kubebwa na  moja Wa madansa wake anaejulikana kwa jina la hu Jintao..
Y tony akiimba kwa hisia kali wimbo wa MY SHITOBE

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...