16 October, 2014

ASKARI ACHEZEA KIPONDO CHA KUFA MTU BAADA YA KUZINGUA RAIA KWENYE MATAA YA UBUNGO

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo la aina yake na kusisimua, askari huyo ambae jina lake halikuweza kujulikana mara moja alisababisha ajali wakati akiongoza magari baada ya kuita magari kutoka pande mbili kwa wakati mmoja.

Picha hapo juu raia wakimlazimisha askari huyo kuingia kwenye bajaji ili kumfikisha kituo cha polisi.

Wananchi wamepinda! Ile dhana ya polisi kuogopwa siku izi haipo!! Loh, kitakachoendelea ntakujuza endelea kutembelea JoJoTheFighter kwa habari makini za burudani, maisha, watu maarufu, vioja n.k

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...