11 October, 2014

BIG BROTHER AFRICA: MSHIRIKIIDRIS TOKA TANZANIA ANAKERA

Kwa wale ambao wamekuwa wanafuatilia BBA 2014 mtakubaliana na mimi kwamba kijana wetu toka Arusha na anayeiwakilisha Tanzania ndani ya jumba hilo ANABOA. Kijana kawa mzururaji tu na kukaa na wadada muda wote. Siyo mbunifu wa kitu chochote kama washiriki wenzake ambao wameonekana wakionesha juhudi binafsi na vipaji mbalimbali. 

Binafsi nimevunjika Moyo kumpigia kura. Hajanishawishi maana sipigi hura kwa kuangalia utanzania.Hapana. Napiga kura nikizingatia ubunifu na juhudi binafsi. 


No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...