04 October, 2014

KIMINI CHAMTOKEA PUANI DADA MMOJA HUKO ARUSHA

Kivazi cha Min Sketi Chazua Balaa
Huko Arusha, Demu Atamani
Ardhi Ipasuke

Kivazi cha Min Sketi Kidogo Kimtokee
Puani Dada mmoja Huko Arusha Mitaa ya
Soko kuu Katika ya Mji Baada ya Vijana
Kuanza Kumzomea na Kumfuata nyuma
Wakitaka Kumshika Makalio , lilikuwa ni
tukio la aina yake lililovuta Hisia za watu
wengi, Watu walivyozidi ilibidi Dada huyu
kukimbilia kwenye Duka moja kujisitiri
ndio ikawa salama yake. 

Jamani wadada
mnapotoka out mjiangalie mmevaa nini vijana huko mtaani wananjaaaaa
msije adhirika
Kivazi cha Min Sketi Chazua Balaa
Huko Arusha,  Atamani
Ardhi Ipasuke. Sokomoko hilo lilitokea
 Mitaa ya Soko kuu Katikati ya Mji Baada ya Vijana
Kuanza Kumzomea na Kumfuata nyuma
Wakitaka Kumshika Makalio , lilikuwa ni
tukio la aina yake lililovuta Hisia za watu
wengi, Watu walivyozidi ilibidi Dada huyu
kukimbilia kwenye Duka moja kujisitiri
ndio ikawa salama yake. 

Jamani wadada
mnapotoka out mjiangalie mmevaa nini vijana huko mtaani wananjaaaaa
msije adhirika

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...