Kwa watu wasio mfahamu Mhe Zitto (mb) ni kijana mwenye kujiona ana ufahamu mkubwa kupita wengine,hakosei, msomi kupita wengine na anajua kila kitu!
Umoja wa vyama vya siasa ku-SIGN ushirikiano ni matakwa ya watanzania kwa muda mrefu, wengi walikata tamaa kushiriki kupiga kura wakiamini hakutakuwa na mabadiliko yoyote kwa kuwa vyama vinanyang'anyana kura wakati ccm kura zake ni zile zile.
Hebu tazama maandishi yake hapa uone kuna uhusiano gani kati ku-SIGN
makubaliano na bei za mazao tena ukizingatia vyama hivi havina dola ndio
vimeamua kushirikiana ili kumtoa mshika dola CCM na kutatua kero kama
hizo.
Hivi ndivyo alivyo andika kijana mwenzetu akiwaona wooote walioshiriki pale jangwani hawajui, sio wasomi ila yeye tu.
"Taifa limevimba. Wakulima Mahindi yanawaozea na Mpunga bei imeporomoka sababu ya mchele kutoka nje usiolipiwa kodi. Wahisani wamezuia misaada (sababu ya kashfa ya #tegetaescrow ) kiasi serikali haiwezi kujiendesha.
Unapoona wanasiasa wanagawana vyeo katika nyakati kama hizi, ujue Taifa halina Viongozi bali wasaka utawala.
Wasaka utawala baada ya uongozi ni #wasakatonge tu"
Maswali kwako Mhe Zitto Kabwe (Mb)
1-Hivi ni kipi kilipelekea mgogoro wako hapo chadema kama sio nia yako ya kusaka utawala au kwako sawa kwa wengine no...?
2- Kipi kimepelekea kuanzishwa chama cha ACT wakati kuna vyama vingine vingi ungejiunga na kuwa mwanachama wa kawaida kama wewe sio msaka madaraka......?
3-Kwanini ulikuwa unatumia nguvu kubwa sana kushawishi bunge kupunguza umri wa kugombea urais ili upate nafasi ya kugombea kama wewe sio msaka madaraka.......?
4-Mhe Zitto Kabwe, ACT ni chama kilicho na usajili wa kudumu na kinaendesha shughuli zake kama chama Je umekishauri nini au ni hatua gani kimechukua kutatua kero za wakulima wa mahindi ulizo zieleza hapo juu.....?
Binafsi nikupe salam za watanzabia wenye uchungu na nchi yao kwamba wanakujuwa kuliko unavyodhani, Mpaka sasa jamii inashindwa kukuelewa msimamo wako kisiasa kuwa ni wa kike au wa kiume kwa kuwa ACT haupo CHADEMA haupo na vyama vingine vyote haupo.
Japo tunajuwa msimamo wako na #UKAWA unalingana ni jambo gani lilisababisha ushindwe kuingia kwenye harakati hizo ?
#UKAWA

No comments:
Post a Comment