12 October, 2014

MUNGU AKUBARIKI JUMAPILI HII KWA WIMBO WA FACE BOOK ULIOIMBWA NA ROSE MUHANDO

Nawatakia Jumapili njema wapenzi wasomaji wa blogu yangu, (JoJoTheFighter). Nawapenda sana, asanteni kwa sapoti yenu... Kiukweli mnanipa nguvu na mori wa kuwapa kitu roho inapenda.

Katika nyimbo zinazo gusa mtima wa moyo wangu ni huu alioimba Rose Muhando unaokwenda kwa jina la FACEBOOK. Naamini utabarikiwa na kujifunza mengi kupitia wimbo huu.

Again... Nawapenda sana. I LOVE YOU ALL....!!!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...