30 October, 2014

R.I.P MZEE MANENTO


MSIBA : Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia.
Muigizaji Mzee Manento enzi za uhai wake


Mzee Manento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakini na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos, Fake Pastor na nyinginezo nyingi.
Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina. 
Taarifa za kufariki  Mzee huyu zilisambaa jana.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...