27 October, 2014

SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI LA MISS TANZANIA!

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu, amejivua taji mwenyewe akidai kuwa sababu ni “kusemwa sana mpaka kukosa uhuru na amani ndani ya nchi yangu Tanzania.” Alichoandika Facebook: sitti mtemvu Baada ya kunaswa ushahidi mpya wa kuchakachua, Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania. Sababu alizozitoa
Uwezekano mkubwa kuwa hiyo siyo sababu ya ukweli, na mrembo huyo aliona yaishe baada ya kubanwa zaidi na documents na ushahidi mwingine vinavyoonyesha amechakachua umri na akaamua kujiokoa na aibu ya kuvuliwa taji na Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA. Vifuatavyo ni Vielelezo zaidi ya vitatu vinavyoonesha kuwa Sitti Mtemvu alidanganya umri.
Passport yake, leseni ya udereva na taarifa za website rasmi ya ‘Idara ya Usalama wa ndani ya Marekani (Department of Homeland Security), pamoja na profile yake kwenye mtandao wa vipaji, exproletalent.com, vinaonesha kuwa alizaliwa May 31, 1989 na na hivyo kuwa na umri wa miaka 25.
Sitti 2 Baada ya kunaswa ushahidi mpya wa kuchakachua, Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania. Sababu alizozitoa
Passport ya Sitti Mtemvu
Passport Baada ya kunaswa ushahidi mpya wa kuchakachua, Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania. Sababu alizozitoa
Leseni ya udereva ya Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu aliyopewa na jimbo la Texas, USA

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...