18 October, 2014

TAMBO ZA KISIASA ZIMEANZA, MBUNGE AANZA KUTUMIA HELICOPTA BUKOBA


Friday, 1

 Ziara ya mbunge huyo, imeanza siku chache baada ya mlezi wa CCM mkoani Kagera na aliyekuwa mbunge wa Bukoba vijijini msimu uliopita Nazir Kalamagi, kupita na kufanya ziara ya jimbno humo, huku akichangia ujenzi wa maabara katika shule zote za jimbo hilo.
Jimbo la Bukoba vijijini, lina kata zaidi ya 40, ambapo miundombinu ya jimbo hilo ni mibovu hasa barabara, ambapo kuna ugumu wa kuzunguka kata zote bila kukumbana na vikwazo, huku wananchi wakikosa huduma za matibabu, jambo ambalo linachangiwa na uhaba wa vituo vya afya.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...