Tukiacha na yule dada aliejipiga kisu cha Tumbo...Jamaa kaaamua kujinyonga kabisa kisa kasalitiwa na demu wake kweli Mapenzi ni noumer,
Mtu unachukua maamuzi ya kujiua kisa Mwanaume au Mwanamke Kwani mmezaliwa wote???!!
Tujirekebishe wandugu maana kitendo cha kujiua hata shetani mwenyewe hapendelei.
No comments:
Post a Comment