![UKAWA tunaenda kushika dola 2015,
makosa yote tuliyoyafanya kuanzia chaguzi zote 1995 mpaka 2010 sitaki yajirudie.
1,,moja ya makosa ilikuwa ni kuweka wagomea wenye tamaa.
2,,,kuweka wagombea wasiokuwa na sifa
3,,,wagombea kuteuliwa makao makuu ya chama husika badala ya jimboni kwake ili kujua anakubalika ama hapana.
4,,,,wengine kwa kuwa tu ni rafiki ama yupo karibu na kiongozi yoyote wa taifa wa chama husika basi anapata fulsa hiyo ya kugombea ata kama hana sifa utasikia anasema mimi pale makao makuu wananijua wote.
HUU NI UPUUZI YANI MTU UNAJIPENDEKEZA MAKAO MAKUU YA CHAMA HUSIKA BADALA YA KUJIPENDEKEZA KWA WANANCHI?WAKATI HUO BUNGE LIJALO TUNATAKA WATU KAMA LEMA WAWE 30,AKINA MSIGWA 30,AKINA TUNDU LISU 30 WENJE NAMNYIKA 30 SASA TUTAWAPATEJE KWA NJIA HIYO MNAYOITUMIA BAADHI YA WATU?SI TUTATENGENEZA BUNGE KAMA LA CCM LA WATU KUJIPENDEKEZA KWA VIONGOZI WA JUU BADALA YA WANANCHI WALIOWACHAGUA?
SAFARI HII TUMEDHAMILIA KUSHIKA DOLA TUNAHITAJI UTAALAMU UTUMIKE ZAIDI KUPATA WAGOMBEA WA UBUNGE NA UDIWANI,,HATUFANYI TENA MAKOSA KILA CHAMA KINACHOUNDA UKAWA LAZIMA KIFANYE MCHAKATO MZURI WA KUPATA WAGOMBEA KWENYE MAJIMBO HUSIKA,,
HATUTAKI KUONA MGOMBEA ANACHAGULIWA KWA KUWA ANA FEDHA NYINGI,AMA KWA KUWA ANAFAHAMIANA NA VIONGOZI MAKAO MAKUU,
BALI TUNATAKA KUONA MGOMBEA ANACHAGULIWA KWA UMAKINI NA UWEZO WAKE KIFIKRA NA UMAKINI WA HALI YA JUU PIA ANAWEZA KUJENGA HOJA YA KUWATETEA WANANCHI WA JIMBO LAKE NA WATANZANIA KIUJUMLA...
KUNA WATU WANAFANYA BIDII YA KUFAHAMIANA NA VIONGOZI WA UKAWA KWA KETE ZAO ZA KUTAKA UBUNGE KWENYE MAJIMBO BADALA YA KUFANYA BIDII YA KUELIMISHA UMMA KWENYE JIMBO HUSIKA ILI KUJIANDAA NA USHINDI WA 2015,,,TUBADILIKE TUNAPASWA KUFANYA SIASA ZA KISAYANSI KWA KIFARANSA TUNASEMA [politique scientifique] NA KWA KINGEREZA MNASEMA [scientific politics].
NAJUA WENYE NIA YA KWELI NA DHATI KULIKOMBOA TAIFA WATANIUNGA MKONO KWA HILI ILA WENYE MALENGO TOFAUTI NA MABADILIKO YA KWELI WATANICHUKIA NA KUNIPINGA.
by
mdude chadema nyagali](https://scontent-b-mad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t1.0-9/p75x225/10348536_542623035882416_5285659377065309671_n.jpg?oh=3f8c631307112330b013342cfb10bda8&oe=54B93420)
1,,moja ya makosa ilikuwa ni kuweka wagombea wenye tamaa.
2,,,kuweka wagombea wasiokuwa na sifa
3,,,wagombea kuteuliwa makao makuu ya chama husika badala ya jimboni kwake ili kujua anakubalika ama hapana.
4,,,,wengine kwa kuwa tu ni rafiki ama yupo karibu na kiongozi yoyote wa taifa wa chama husika basi anapata fursa hiyo ya kugombea ata kama hana sifa utasikia anasema mimi pale makao makuu wananijua wote.

HUU NI UPUUZI YANI MTU UNAJIPENDEKEZA MAKAO MAKUU YA CHAMA HUSIKA BADALA YA KUJIPENDEKEZA KWA WANANCHI? WAKATI HUO BUNGE LIJALO TUNATAKA WATU KAMA LEMA WAWE 30, AKINA MSIGWA 30, AKINA TUNDU LISU 30, WENJE NA MNYIKA 30 SASA TUTAWAPATEJE KWA NJIA HIYO MNAYOITUMIA BAADHI YA WATU? SI TUTATENGENEZA BUNGE KAMA LA CCM LA WATU KUJIPENDEKEZA KWA VIONGOZI WA JUU BADALA YA WANANCHI WALIOWACHAGUA?
SAFARI HII TUMEDHAMIRIA KUSHIKA DOLA TUNAHITAJI UTAALAMU UTUMIKE ZAIDI KUPATA WAGOMBEA WA UBUNGE NA UDIWANI,,HATUFANYI TENA MAKOSA KILA CHAMA KINACHOUNDA UKAWA LAZIMA KIFANYE MCHAKATO MZURI WA KUPATA WAGOMBEA KWENYE MAJIMBO HUSIKA,,
HATUTAKI KUONA MGOMBEA ANACHAGULIWA KWA KUWA ANA FEDHA NYINGI, AMA KWA KUWA ANAFAHAMIANA NA VIONGOZI MAKAO MAKUU,
BALI TUNATAKA KUONA MGOMBEA ANACHAGULIWA KWA UMAKINI NA UWEZO WAKE KIFIKRA NA UMAKINI WA HALI YA JUU PIA ANAWEZA KUJENGA HOJA YA KUWATETEA WANANCHI WA JIMBO LAKE NA WATANZANIA KIUJUMLA...
BALI TUNATAKA KUONA MGOMBEA ANACHAGULIWA KWA UMAKINI NA UWEZO WAKE KIFIKRA NA UMAKINI WA HALI YA JUU PIA ANAWEZA KUJENGA HOJA YA KUWATETEA WANANCHI WA JIMBO LAKE NA WATANZANIA KIUJUMLA...
KUNA WATU WANAFANYA BIDII YA KUFAHAMIANA NA VIONGOZI WA UKAWA KWA KETE ZAO ZA KUTAKA UBUNGE KWENYE MAJIMBO BADALA YA KUFANYA BIDII YA KUELIMISHA UMMA KWENYE JIMBO HUSIKA ILI KUJIANDAA NA USHINDI WA 2015,,,TUBADILIKE TUNAPASWA KUFANYA SIASA ZA KISAYANSI KWA KIFARANSA TUNASEMA [politique scientifique] NA KWA KINGEREZA MNASEMA [scientific politics].
NAJUA WENYE NIA YA KWELI NA DHATI KULIKOMBOA TAIFA WATANIUNGA MKONO KWA HILI ILA WENYE MALENGO TOFAUTI NA MABADILIKO YA KWELI WATANICHUKIA NA KUNIPINGA.
Mdude Chadema Nyagali
No comments:
Post a Comment