17 October, 2014

UKEKETAJI SASA WASHAMIRI ENGLAND


Kwa mara ya kwanza tabia ya ukeketaji wa wanawake imegunduliwa England,ukeketaji ulipigwa marufuku nchi humo mwaka 1985,ingawa umekua ukiendelea na hakuna aliyetiwa mkononi mpaka sasa.
Kwa muujibu wa takwimu zilizokusanywa na kitengo cha afya cha taifa hilo zimeonesha kuwa zaidi ya wanawake mia nne na hamsini kwa mwezi mmoja tu uliopita wamegundulika kuwa waathirika wa tabia hiyo mpya na wameshatibiwa.

Mpaka sasa wagonjwa elfu kumi na tatu wanaendelea kupata matibabu,wanaharakati wa kupinga ukeketaji England wanasema kwamba idadi kamili ni kama itamkwa kwa ufinyu,na kukaribisha taarifa zaidi ili kujua ukubwa wa tatizo.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...