Ni kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.
Taarifa
zilizotufikia hivi punde, kinaleleza kuwa kaimu Mkurugenzi wa TPDC,Bw. James Andilile na
Mwenyekiti wake
wa bodi Bwa.Michael Mwanda wamepelekwa rumande kwa kosa la
kutowasilisha
mikataba 26 kwa kamati ya bunge la hesabu za mashirika ya umma
PAC, kamati imeagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.
Endelea kupitia hapa upate Updates zaidi.
No comments:
Post a Comment