18 November, 2014

HAYA NDIYO MASWALI MAZITO KUTOKA ZITTO KABWE KWENDA MBOWE ,EBU YATAZAME KIUNDANI


Mhe  Zitto Kabwe

Haya ni  maswali   mazito kutoka  mhe  Zitto  Kabwe  kwenda   mhe  Mbowe  hakika  haya   maswali  yanahitaji   majibu   haraka   kutoka   mhe  Mbowe  mwenyekiti   wa  Chadema ili  kuondoa  maswali   kutoka  kwa  wapenzi   wa  chadema


Hiii ni  kauli ya    ZITTO KABWE   kwenda    kwa   mhe  MBOWE  anaanza  kwa  kusema  hivi!!!

“Mimi nina rekodi ya kujivunia … nimeibadilisha Kigoma na kusimamia ujenzi wa miundo mbinu ya barabara, madaraja na viwanja vya ndege. Nimewezesha wakulima kuwa na hifadhiya jamii, bimna ya afya. Je, yeye kafanya nini Hai?” aliuliza Zitto.

Zitto aliendelea kusema "Nimeibua hoja za maana Bungeni zikiwemo ya kubadili sheria kwa manufaa ya nchi. Yeye kafanya nini Bungeni kwa manufaa ya nchi tangu aingie?Ametoa hoja gani binafsi? Ametunga sheria gani binafsi?

mhe   Freeman    Mbowe

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...