18 November, 2014

LUNDENGA KIKAANGONI UPYA!!! NI BAADA YA SITTI KUSHINDWA KURUDISHA ZAWADI ZOTE ALIZOPEWA!!


Lundenga na Kampuni yake ya Urembo matatani tena baada ya Basata kuhoji kwanini Sitti Mtemvu Bado Hajarudisha zawadi zote alizoshinda Katika Mashindano hayo ya Urembo..
Basata Imesema Sitti anahitajika kurudisha zawadi zote alizoshinda kuanzia Miss Temeke, Miss Changombe na Miss Tanzania 2014 kwa vile huko pote alishiriki huku amedanganya Umri...!!! Pagumu hapo!!!! Uwiiiiiiiiiiiiiiiii........

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...