13 November, 2014

MWANAMKE ALIYEONGOZA MASHAMBULIZI YA WESTGATE MALL, NAIROBI AMEUAWA BY ANTIGUA · NOVEMBER 13, 2014


Ripoti hizo, kutoka katika kituo cha habari cha Regnum, jijini Moscow, na ambazo bado hazijathibitishwa zinasema Samantha Lewthwaite, 30, al-maarufu “Black Widow” aliuawa kwa risasi na sniper wa Russia wiki mbili zilizopita.
Kwa mujibu wa Regnum, Black Widow alikua akipigania kikosi cha Ukranie, kilichokuwa kikipigana dhidi ya waasi na wanajeshi wa kujitolea wa Russia
Black Widow, ambaye ni mmoja wa watu ambao ni “most wanted” nchini uingereza, aliripotiwa kuwa nchini Syria mwezi uliopita, akipigania magaidi wa “Islamic State.”
Samantha “Black Widow” Lewthwaite ni mjane Germaine Lindsay. Germaine, aliyebadili jina na kuitwa Abdullah Shaheed Jamal baada ya kusilimu, ni mmoja wa magaidi waliopiga mabomu katika treni jijini London July, 7, 2005, yaliyouwa watu 56, wakiwemo wenyewe.
Samantha “Black Widow” Lewthwaite katika picha
samantha black widow LEWTHWAITE Ripoti: Mwanamke aliyeongoza mashambulizi ya Westgate Mall, Nairobi ameuawa
samantha Lewthwaite AKA “Black Widow”
Passport used by Lewthwaite to travel into South Africa with the name Natalie Faye Webb Ripoti: Mwanamke aliyeongoza mashambulizi ya Westgate Mall, Nairobi ameuawa
Passport ya South Africa na jina “Natalie Faye Webb” aliyowahi kutumia,
samantha black widow LEWTHWAITE 0 Ripoti: Mwanamke aliyeongoza mashambulizi ya Westgate Mall, Nairobi ameuawa
Samantha Lewthwaite na familia. Mumewe Germaine Lindsay au Abdullah Shaheed Jamal, pamoja na mtoto wao
Samantha Lewthwaite blog 0 Ripoti: Mwanamke aliyeongoza mashambulizi ya Westgate Mall, Nairobi ameuawa
Blog ya Samantha “Black Widow” Lewthwaite
Samantha Lewthwaite aged 16 17 years at school Ripoti: Mwanamke aliyeongoza mashambulizi ya Westgate Mall, Nairobi ameuawa
Samantha “Black Widow” Lewthwaite, alipokuwa na umri wa miaka 16, shuleni katika picha na wanafunzi wenzie
samantha Lewthwaite school Ripoti: Mwanamke aliyeongoza mashambulizi ya Westgate Mall, Nairobi ameuawa
Samantha “Black Widow” Lewthwaite alipokuwa mwanafunzi shuleni
Samantha Lewthwaite Ripoti: Mwanamke aliyeongoza mashambulizi ya Westgate Mall, Nairobi ameuawa
Samantha “Black Widow” Lewthwaite utotoni

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...