26 December, 2014

HAZINA SACCOS YAKABIDHI HATI ZA VIWANJA 150 KWA WANACHAMA


 Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwasili viwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam wakati wa ufunguzi wa  Mkutano Mkuu wa Mwaka wa siku mbili (Disemba 20-21) wa wanachama wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina, mkutano huo  unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina Eligius Mwankenja. 
 Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufungua  Mkutano Mkuu wa mwaka wa siku mbili mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) wa wanachama wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina, mkutano huo  unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”.

 Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina Eligius Mwankenja akitoa neno wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofaviwanja vya Mkumbusho ya Taifa  mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es salaam.
 Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum wakati wa kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofaviwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es salaam.
 Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofaviwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21)  jijini Dar es salaam.
  Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina waliokabidhiwa hati zao za viwanja mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofaviwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es salaam. Mkutano huo unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...