Mapacha Abriana
na Adriana awali ya upasuaji huo walikuwa wameunganika kuanzia chini ya
kifua na tumbo, hali kadhalika walikuwa wakitumia mvungu mmoja wa moyo na maini
yaliyounganika. Changamoto ya upasuaji
wa mapacha hawa kwa madaktari ulikuwa kufanya utenganishaji bila kuwavujisha
damu nyingi ambayo waliweza kukabiliana nayo ipasavyo kutokana na madaktari
waliokuwepo wenye wataalum wa kiufundi na matibabu.
Upasuaji huo ulifanywa na jopo la watalaamu 50
waliobobea katika taaluma mbali mbali za tiba ya afya ya kabla na baada ya
upasuaji ambao uliendelea kwa masaa 11. Watalaamu
walifanikiwa kutenganisha viungo vilivyo kuwa vimeungana lakini mapacha hawa
walipona na kupata ahueni kwa haraka hivo kusaidia zoezi zima la uponyaji baada
ya upasuaji.
Hali kadhalika, hatua nyingine ya muhimu katika
upasuaji huo ilikuwa kurudisha viungi husika katika mahala pake baada ya
kuvitenganisha. Akizungumzia kuhusu hili Dkt.
K S Sivakumar Plastic & Reconstructive Surgeon anasema, “Baada ya
upasuaji, moyo wa moja ya mapacha ulitakiwa kurudishiwa mahali pake ili kuzuia
mbenuko na uharibifu pamoja na maini yaliyokuwa yameungana. Ilichukua majopo
mawili ya wataalum kwa masaa nne kukamilisha ufungaji wa maini, moyo, na utumbo
katika mahala pake.”
Upasuaji huu wa mafanikio wa mapacha
waliounganika kutoka ncini Tanzania sio wa kwanza kufanywa na hospitali ya
Apollo. Mwishoni mwa mwaka 2013 mapacha wengine wakiume waliokuwa wameungana na
kujulikana na wataalamu kama Pygopagus,
Ericana & Eluidi kutoka Tanzania
walifanikiwa kutenganishwa na wataalamu wa hospitali hiyo.
Matukio amabayo
yamepandisha chati na kuipa hadhi ya juu hospitali ya Apollo iliyoko nchini
India na nchi ya India kwa ujumla kama kiongozi katika sekta ya afya na mfano
wa kuigwa na nchi nyingine ikiwemo Tanzania. Hospitali hiyo ina mahusiano
mazuri na nchi ya Tanzania ikitembelewa idadi kubwa ya wagonjwa kutoka Tanzania
kutokana na ukosefu wa huduma muhimu na za kisasa nchini.
Wapacha walioungana
hutambuliwa na kupewa majina kutokana na jinsi muungano huo unapokuwa katika
viungo mbali mbali vya mwili. Ikiwa aina ya mapacha waliounganika wa Thoraco Omphalopagus
ndio inayoongoza kuripotiwa kwa asilimia 28% zaidi ya aina nyingine zote zinazotambulika
matukio mengi yakitokea zaidi Kusini-Magharibi mwa bara la Asia, Africa and
Brazili. Katika aina hii mapacha wanakuwa wameunganika kuaznia kifuani mpaka
chini ya kifua kwenda kwenye tumbo na hutumia baadhi ya sehemu ya moyo, ini na
baadhi ya sehemu viungo vya mmeng’enyo wa chakula(i).
Kulingana na hospitali ya Apollo kesi
zinazohusu mapacha waliounganika huwa ni nadra mathalan moja kati ya uzao
200,000 huonekana. Lakini, asilimia 60 ya hao hufariki wakati asilimia 35
hufariki katika kipindi kifupi baada ya kuzaliwa kutokana na sababu mbali mbali
(ii).
Akizungumzia upasuaji huo uliokuwa na
mafanikio, Dkt. Prathap C Reddy, Mwenyekiti na Muanzilishi wa Hospitali za Apollo
anasema, “Nikitazama katika mwaka huu wa 2014 naona maisha ya watu tuliweza
kuyagusa kwa namna njema. Mbali na maumivu wanayopata watoto yatokanayo na
ugonjwa, wazazi pia hupitia mshituko na mahangaiko makubwa. Nchi nyingi za bara
la Afrika zinakosa tiba muhimu na mbadala na hivyo kujikuta wanakuja nchini
India kupata huduma hizo muhimu na kisasa. Inafurahisha na kuleta faraja kuwa
katika sikukuu hii ya Krismasi Jimmy na Carolyn watarudi nyumbani na watoto wao
wakiwa ni binadamu wawili tofauti.”
Tangu mwaka 2007, jozi nane za mapacha
waliounganika katika ini na utumbo kutoka sehemu mbali mbali nchini India zimeripotiwa
kutenganishwa. Aradhana na Stuthi ni jozi pekee ya mapacha waliwahi
kutenganishwa kwa upasuaji wakiwa na mioyo iliyo katika mvungu (cavity) mmoja hali
sawa na mapacha Adrianan na Abriana. Japo
moja ya mapacha wa thoraco opmhalopagus Aradhana kufariki wiki tatu baadae, Adriana and Abriana na ndio aina hiyo
ya mapacha walioweza kuishi baada ya kufanyiwa upasuaji wa kutenganishwa.
Baada ya miezi ya matibabu, mapacha Adriana na
Abriana kutoka Dar-es-Salaam watarejea nyumbani Tanzania tarehe 18 Disemba na
kufika mjini Dar es Saaam asubuhi ya tarehe 19 Disemba. Katika kipindi hiki cha
sikukuu itakuwa shangwe kwa wazazi Jimmy na Carolyn wanaporudi nyumbani kutoka
nchini India wakiwa na watoto wao wawili waliotenganishwa.
END
Zaidi kuhusu hospitali za apollo
Mnamo mwaka 1983, Dkt. Prathap Reddy alianzisha
hospitali za Apollo, Chennai nchini India. Leo hospitali hizo zimesambaa kote
nchini India na miongoini mwa kampuni inayotoa huduma bora zaidi za afya
duniani. Hospitali za Apollo zimekuwa
mstari wa mbele katika kuleta mapinduzi ya sekta ya afya nchini india ikiwa na
vitanda 8,488 katika hospitali zake 51 kote nchini india, Asia na Africa.
Maduka ya madawa 1,586 zaidi ya kliniki 92, senta 3 za watoto na wanawake, mshirika ya elimu na
idara za tafiti 15. Hospitali inahudumia zaidi ya watu milioni 37 kutoka zaidi
ya 120 duniani.
Serikali ya India ilitoa a zawadi maalumu ikiwa
ni kwa ajili ya kutambua mchango unaotolewa na hospitali ya Apollo kwa jamii
kama shirika la afya. Mwenyekiti wa hospitali za Apollo, Dkt. Prathap Reddy
alizawadiwa tuzo ya Padma Vibhushan mwaka 2010. Zaidi ya miaka 28, hospitali za
Apollo zimekuwa mstari wa mbele katika huduma mbali mbali za afya kupitia
teknolojia za kisasa kabisa na tafiti.
Ratiba ya upasuaji
21-08-2014: Mapacha Abriana and Adriana walazwa chini
ya uangalizi wa daktari mpasuaji wa plastiki Dkt. KS Sivakumar.
10-09-2014: Mapacha wafanyiwa upasuaji wa kutanua
tishu ya ngozi.
17-11-2014: Upasuaji wa mwisho wa kutenganishwa mapacha.
6:00 AM: Upasuaji waanza chini ya wataalam 11 wa
upasuaji na wataalamu 3 wa dawa za usingizi kwa masaa 9.
5:00 PM: Upasuaji wakamilishwa. Inachukua majopo
mawili ya wataalamu na masaa 4 kurudishia kila kiungo katika mahali pake.
Picha: Waziri mwanamke
wa Jamaica azua mjadala mtandaoni kwa kupost picha akiwa nusu utupu
12/17/2014 09:09:00 AM Shaban Dege 0 KIMATAIFA
Waziri wa Vijana na Utamaduni wa Jamaica , Lisa Hannah amezua mjadala
kwa kupost picha akiwa amevaa bikini na top yenye picha ya Bob Marley.
lisa-hanna-jamaica-minister-of-youth
Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World mwaka 1993, alipost picha hiyo
kwenye ukurasa wake wa facebook na kusababisha mjadala juu ya picha
hiyo, wengine wakisema sio sahihi kwa kiongozi ambaye ni mbunge na
waziri kufanya hivyo, huku wengine wakisema ni sawa.
hanna
Lisa Hannah
Baadhi ya maoni:
Andrea Barrett
Whats wrong with it..is she wearing swim suit to parliament???? Isn’t
the attire appropriate for the place she is at????? oh please!!!!!!!!
Edwin Walton
A little too revealing for a lady in her position, extremely beautiful
no doubt but remember, she is the minister… and should be setting an
example for the young ladies to look up to her.
Annette Apple Green
“The minister does not seem too acutely aware of her public persona…
very nice but i think she should resist the urge to display these
photos.”
Corinne Matheson
Sorry at my age I never have that physique. I wouldn’t have on anything.
Leave her alone let she show it off, cho, every damn thing bother oonu
Don Crichton
Minister… I hardly noticed the bikini … what I am seeing is a woman who
is in a very powerful place mentally… and more importantly ..
Spiritually.
Keddy-ann Batson
Mi say I don’t know what do some people. You can’t please them….she’s at
the beach for god sakes.
Source: Jamaica-gleaner
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Picha: Waziri mwanamke
wa Jamaica azua mjadala mtandaoni kwa kupost picha akiwa nusu utupu
12/17/2014 09:09:00 AM Shaban Dege 0 KIMATAIFA
Waziri wa Vijana na Utamaduni wa Jamaica , Lisa Hannah amezua mjadala
kwa kupost picha akiwa amevaa bikini na top yenye picha ya Bob Marley.
lisa-hanna-jamaica-minister-of-youth
Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World mwaka 1993, alipost picha hiyo
kwenye ukurasa wake wa facebook na kusababisha mjadala juu ya picha
hiyo, wengine wakisema sio sahihi kwa kiongozi ambaye ni mbunge na
waziri kufanya hivyo, huku wengine wakisema ni sawa.
hanna
Lisa Hannah
Baadhi ya maoni:
Andrea Barrett
Whats wrong with it..is she wearing swim suit to parliament???? Isn’t
the attire appropriate for the place she is at????? oh please!!!!!!!!
Edwin Walton
A little too revealing for a lady in her position, extremely beautiful
no doubt but remember, she is the minister… and should be setting an
example for the young ladies to look up to her.
Annette Apple Green
“The minister does not seem too acutely aware of her public persona…
very nice but i think she should resist the urge to display these
photos.”
Corinne Matheson
Sorry at my age I never have that physique. I wouldn’t have on anything.
Leave her alone let she show it off, cho, every damn thing bother oonu
Don Crichton
Minister… I hardly noticed the bikini … what I am seeing is a woman who
is in a very powerful place mentally… and more importantly ..
Spiritually.
Keddy-ann Batson
Mi say I don’t know what do some people. You can’t please them….she’s at
the beach for god sakes.
Source: Jamaica-gleaner
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
No comments:
Post a Comment