09 December, 2014

MOVIE YAANDALIWA KUELEZA UHUSIANO WA BARRACK NA MICHELLE OBAMA TANGU SIKU WANAKUTANA HADI IKULU

2 III 
Imezoeleka kuona sinema mbalalimbali zinachezwa na nyota au watu mashuhuri duniani wakiigiza maisha ya Viongozi na watu mashuhuri, kwa mfano mfano ‘Long Walk to Freedom’ aliyoicheza actor Idris Elba akiigiza kama Hayati Nelson Mandela, ‘White House Down’ ambayo Jammie Fox amecheza kama Rais wa Marekani sasa kwa wale wapenzi wa movie hakika hii ni njema kwao.
 2
Una hamu ya kuvijua ni namna ambavyo mahusiano ya Rais wa Marekani Barack Obama na Mkewe Michelle Obama walianza mahusiano yao wakati ambao hakuna kati yao aliyekuwa na ndoto ya kuingia Whit House?
 Tika
Tika Sumpter ameshapangiwa kucheza nafasi kama Michelle Obama huku producer akiendelea na jukumu la kumtafuta kijana wa kiume ambaye atafit kuwa Obama wa mwaka 1989 wakati alipoanza jitihada za kumpata Michelle Robinson ambaye baadaye alikuwa mkewe rasmi mwaka 1992.
  2 II
Sinema hiyo tayari imepewa jina la Southside With You itaanza kutayarishwa mwezi July 2015 Chicago, Marekani.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...