04 December, 2014

POLISI WADAIWA KUVURUGA MKUTANO LOLIONDO


Jeshi la polisi nchini hapa Tanzania linatuhumiwa kuusambaratisha mkutano wa amani wa hadhara uliopangwa kufanywa leo na wakaazi wa Loliondo jamii ya Wamasai Wilayani Ngorongoro.
Mkutano huo ulilenga kujadili kuhusu haki ya ardhi ya jamii hiyo ya wamasai, wanaodai serikali inataka kuwapora.
Halima Nyanza amezungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali kuhusiana na hatua hiyo ya polisi.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...