10 December, 2014

RAISI KIKWETE ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 4,969!

  • Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4969, wakiwemo 4082 ambao wamepunguziwa adhabu zao na 887 ambao wataachiwa huru.

Watanzania jana wameadhimisha miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika ambayo mwaka 1964 iliungana na Zanzibar na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Maadhimisho hayo yalifanyika kitaifa jijini Dar es salaam katika uwanja wa Taifa ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Jakaya Kikwete.
Sherehe za maadhimisho hayo zimepambwa na gwaride lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ambalo pia lilivishikisha vikosi vya Jeshi la Kujenga Taifa-JKT, Polisi na Magereza.
Wakati huo huo Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4969, wakiwemo 4082 ambao wamepunguziwa adhabu zao na 887 ambao wataachiwa huru.
Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema wafungwa watakaonufaika na msamaha huo kuwa ni wenye magonjwa kama UKIMWI, Kifua Kikuu, Saratani walio katika hali mbaya, wazee wenye umri wa 70 au zaidi, umri ambao utapaswa kuthibitishwa na jopo la waganga chini ya uenyekiti wa mganga mkuu wa mkoa au wilaya.
Wengine ni wafungwa wa kike walioingia na mimba gerezani pamoja na wale walioingia na watoto wanaonyonya na wasionyonya, wafungwa wenye ulemavu wa mwili na akili ambao utathibishwa na jopo la waganga chini ya uenyekiti wa mhanga mkuu wa Mkoa au wilaya.
Wafungwa ambao hawatanufaika na msamaha huo ni pamoja na wale waliohukumiwa kunyongwa, waliohukumiwa kwa makosa ya kuomba na kupokea au kutoa rushwa na wale wanaotumikia kifungo kwa makosa ya unyang'anyi wa kutumia silaha, kubaka au kulawiti.
Sophie Mbeyu Blog twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail WELCOME SOPHIE MBEYU BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: +460762898798 | Email: sophiambeyu@msn.com | KARIBU SOPHIE MBEYU BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: +460762898798 | Barua Pepe: sophiembeyu@msn.com | DO YOU NEED TO DEVELOP YOUR BLOG CONTACT US CLICK HERE | JE UNAHITAJI KUBORESHA BLOG YAKO WASILIANA NASI BOFYA HAPA Home About Products LIVE TV Radio Contact Wednesday, 10 December 2014 WAFUNGWA 4,969 WAPATA MSAMAHA WA RAIS Rais Jakaya Kikwete (pichani), ametoa msamaha kwa wafungwa 4,969 wanaotumikia adhabu zao katika magereza mbalimbali nchini. Taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, iliyotolewa jijini Dar es Salaam jana, ilisema Rais Kikwete amechukua hatua hiyo katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Katika msamaha huo, wafungwa 887 wameachiliwa huru na wengine 4,082 wamepunguziwa vifungo vyao na kubaki gerezani hadi watakapomaliza kutumikia sehemu ya adhamu zao. Taarifa hiyo ilieleza kwamba Rais ametumia nafasi hiyo kutokana na madaraka aliyopewa chini ya ibara 45 (1)(d)ya katiba ya nchi. Wafungwa watakaohusika na msamaha huo ni wale waliopunguziwa vifungo vyao kwa utaratibu wa kawaida chini ya kifungu 49(1) cha sheria ya magereza, wenye matatizo ya ugonjwa kama Ukimwi, kifua kikuu na saratani iliyo hatua ya hatari. “Wafungwa wenye matatizo haya watathibitishwa na jopo la waganga chini ya uenyekiti wa mganga mkuu wa mkoa au wilaya,” ilisema sehemu ya taarifa hiyo. Kundi lingine la wafungwa waliosamehewa wametajwa kuwa wazee wenye umri wa miaka zaidi ya 70, wanawake waliofungwa wakiwa wajawazito au watoto wanaonyonyesha na wale wenye ulemavu wa akili au kimwili. Hata hivyo, msamaha huo hautawahusu watu waliohukumiwa kifo au waliobatilishwa na kuwa kifungo cha maisha. Wengine ambao hawatakuwa kwenye msamaha huo ni wale waliofungwa kwa makosa ya biashara ya dawa za kulevya, rushwa, unyang'anyi na kutumia silaha, kubaka, ulawiti na unajisi. Aidha katika kundi hilo wapo wafungwa wenye makosa ya kuwapa ujauzito wanafunzi, matumizi mabaya ya madaraka na ubadhirifu wa fedha za umma, biashara haramu ya binadamu na makosa ya ugaidi. Posted by Sophia Mbeyu at 11:13 Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest No comments: Post a Comment Links to this post Create a Link Newer Post Older Post Home Translate Powered by Translate PLACE YOUR ADS HERE PLACE YOUR ADS HERE TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA UNAHITAJI BOFYA PICHA HII KUONA PICHA ZAIDI About Me My Photo Sophia Mbeyu View my complete profile Blog Archive Popular Posts MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2014 YAMETOKA, INGIA HUMU KUONA DK. CHARLES E. MSOND E AKITANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA MAPEMA HII LEO OFISINI KWAKE,MSONDA AMESEMA MATOKEO YA MWAKA HUU UFAURU WAKE ... MITINDO YA VITENGE KWA WANAWAKE NA WANAUME... KAMA INAVYYONYESHA PICHA! VAZI LAKITENGE LAWEZA KUTUMIWA KAMA VAZI LA OFISI AMA CASUAL SIO LAZIMA KITENGE KIWE N... MITINDO YA VITENGE KWA AKINA DADA NA WATOTO.. MITINDO MBALIMBALI YA VITENGE, VIATU NA HANDBAG ZA KITENGE.... MITINDO YA VITENGE,VIATU, MIKUFU KWA AJILI YA SHEREHE MAALUM! MITINDO YA VITENGE HII NI SKIRT ILIYOSHONWA KWA KITENGE! KAMA TULIVYOONA SASA HIVI VITENGE SIYO TU MAGAUNI HATA SKIRT, SURUALI NA E.T.C... AKINA B... MITINDO BOMBA YA VITENGE! Huhitaji nguo za majina kupendeza, kitu cha kitenge tosha kabisa kukutoa bomba! MITINDO MBALIMBALI YA VITENGE..... MITINDO YA VITENGE Mitindo ya Vitenge inaweza kushonwa katika dizain mbalimbali, hii inaonyesha mitindo kwa vijana ni katika kuonyesha kuwa kitenge si lazima ... MITINDO YA VITENGE KWA WOTE,.... WADAU WA VITENGE KILA WIKI KUNA POST YA VITENGE FUATILIA POST ZA NYUMA KUPATA MITINDO MBALIMBALI ZAIDI... Labels African day 2008 may AMUUA BABA YAKE KUMUOKOA SHANGAZI YAKE ALIYEKUWA ANABAKWA- NACHINGWEA ARIEL SHARON AFARIKI ASEMA YADHOOFISHA UCHUMI AFRIKA aswira Kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar:Rais wa Comoro Awasili Zanzibar Kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi BAADA YA BASI KUGONGA NA KUUA WATATU BABA NA MWANA JAY-Z NA MWANAE BLUE IVY.. Biza mupulu artist Biza mupulu Botswana BREAKING NEWS: FIFA YAHAMISHA MUDA WA KOMBE LA DUNIA MWAKA 2022 HUKO QATAR HABARI ZA KIMATAIFA/ WAUMINI WAUAWA MSIKITINI NCHINI NIGERIA HABARI ZA UMBEYA/. WAKATI WEMA AKITUMA VIDEO YA DIAMOND AKIWA KITANDANI HAKUNA KAMA MWANAMKE HAPO NAPO SASA IGP ATANGAZA MABADILIKO MAKUBWA JESHI LA POLISI. IJUMAA NJEMA WADAU WA SOPHIEMBEYU BLOG.... IMETANGAZWA RASMI KESHO NI SIKU YA MAPUMZIKO KUSHEHEREKEA MAPINDUZI: Kundi la FM Academia KUTWAA TUZO YA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NJE YA AFRIKA Machael Jackson kuaga dunia MADAWA YA KULEVYA YAINGIZWA SUPERMARKET KATIKA MAKASHA YA NDIZI MAGAZETI YA LEO IJUMAA 10 JANUARY 2014 Magonjwa ya mlipuko yanukia jijini Dar MAN UNITED YAZINDUKA Mariam bongo MAWAZIRI WAPYA WATANO WATAJWA TANZANIA MITINDO YA NYWELE MITINDO YA VITENGE MKAPA AIPONDA MISAADA KUTOKA NJE MSIKIE JOKATE AKIONGELEA MUZIKI NA FILAMU....... Mwekezaji abomoa nyumba za wananchi wa Mkuyuni-Morogoro ili kupisha ujenzi wa Majosho.11 jan mgogoro Nondoz wa Bongo waliokamilisha kisomo chao Data India. Pablo Machine Familia dar Pablo Machine na watoto Pablo Machine na wakenya kwenye festival Pablo Machine Sabiti PENNY NAE ANENA "HAITATOKEA KAMWE NIKAMDHARAU DIAMOND PICHA ZA WATUHUMIWA WALIOKAMATWA WAKISAFIRISHA SILAHA ZA KIVITA KATAVI PICTURE OF THE DAY..KWA RAHA ZAO Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Aendelea Kutunuku Nishani Rihanna out in Barbados RWANDA YAKANUSHA UVUMI KUHUSU KIFO CHA KAGAME SABABU YA KIFO CHA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA TASWIRA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO 12/01/2014 UNAKANDAMIZA ... VAZI LA LEO Wa Bongo WAFANYABIASHARA WA DAR WAGOMEA MASHINE ZA KODI ZA TRA WAFUNGA MADUKA LEO Wakali bongo hawo WANANCHI WALITEKETEZA BASI KWA MOTO WAZIRI KIGODA : MFUMO MASHINE EFDs NI MBOVU WEEKEND NJEMA WADAU WA SOPHIEMBEYU BLOG....NAWAPENDAAA MINGIIII. WEMA NI MAMA KIJACHO? SOMA ALICHOANDIKA HAPO Wizara ya maliasili na utalii imewasimamisha kazi watumishi wake 22 wa idara ya wanyama pori YAICHAPA 2-0 SWANSEA CITY Yatima Dar walilia madarasa yakujisomea PLACE YOUR ADS HERE PLACE YOUR ADS HERE powered by Slideshow Loading... Sikiliza clouds radio SIKILIZA KWANZA JAMII RADIO Followers Google+ Followers Total visitors Total Pageviews Sparkline 1278384 CLOCK & CALENDAR buy research paper custom essay writing answering service care December 2014 S M T W T F S 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 Free Counter Counter Free PLACE YOUR ADS HERE PLACE YOUR ADS HERE WEBSITES & BLOGS MICHUZI JIACHIE BONGOBLOGS TanzMED Wavuti Allyshams Myummah76 Francis Godwin Globalpublishers Full Shangwe Ladyjaydee Swahili TV TMF Haki Ngowi Mimi na Tanzania Mo Blog Chadema Blog CCM Blog January Makamba Zitto kabwe Habari Leo Daily News Mwananchi Mtanzania Tanzania Daima Raia Mwema Majira Mwanaspoti The Citizen Daraja Letu IPP Media Bashir Nkoromo BBC Swahili Sauti ya Amerika Jamii Forums BLOG DEVELOPMENT BLOG DEVELOPMENT AUDIO BAR SIKILIZA BRAND NEW TRACK HAPA!! VIDEO BAR UNATAKA KUPUNGUA UZITO!! CLICK THIS IMAGE Contact Form Name Email * Message * TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA TANGAZO: UNAHITAJI VIATU WASILIANA NASI HAPA UNAHITAJI BOFYA PICHA HII KUONA PICHA ZAIDI UNAHITAJI KUPUNGUA UZITO WEIGHT MANAGEMENT UNAHITAJI KIKAPU UNAHITAJI KIKAPU SANDALS SANDALS ADVERTISE WITH US PLACE YOUR ADS HERE AFRICAN FASHION TANGAZO BOFYA! Copyright (c) 2007 Sophie Mbeyu Blog | Maintained By ALLY S MGIDO'S +255657615174

Make Money at : http://bit.ly/copy_win

WAFUNGWA 4,969 WAPATA MSAMAHA WA RAIS Rais Jakaya Kikwete (pichani), ametoa msamaha kwa wafungwa 4,969 wanaotumikia adhabu zao katika magereza mbalimbali nchini. Taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, iliyotolewa jijini Dar es Salaam jana, ilisema Rais Kikwete amechukua hatua hiyo katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Katika msamaha huo, wafungwa 887 wameachiliwa huru na wengine 4,082 wamepunguziwa vifungo vyao na kubaki gerezani hadi watakapomaliza kutumikia sehemu ya adhamu zao. Taarifa hiyo ilieleza kwamba Rais ametumia nafasi hiyo kutokana na madaraka aliyopewa chini ya ibara 45 (1)(d)ya katiba ya nchi. Wafungwa watakaohusika na msamaha huo ni wale waliopunguziwa vifungo vyao kwa utaratibu wa kawaida chini ya kifungu 49(1) cha sheria ya magereza, wenye matatizo ya ugonjwa kama Ukimwi, kifua kikuu na saratani iliyo hatua ya hatari. “Wafungwa wenye matatizo haya watathibitishwa na jopo la waganga chini ya uenyekiti wa mganga mkuu wa mkoa au wilaya,” ilisema sehemu ya taarifa hiyo. Kundi lingine la wafungwa waliosamehewa wametajwa kuwa wazee wenye umri wa miaka zaidi ya 70, wanawake waliofungwa wakiwa wajawazito au watoto wanaonyonyesha na wale wenye ulemavu wa akili au kimwili. Hata hivyo, msamaha huo hautawahusu watu waliohukumiwa kifo au waliobatilishwa na kuwa kifungo cha maisha. Wengine ambao hawatakuwa kwenye msamaha huo ni wale waliofungwa kwa makosa ya biashara ya dawa za kulevya, rushwa, unyang'anyi na kutumia silaha, kubaka, ulawiti na unajisi. Aidha katika kundi hilo wapo wafungwa wenye makosa ya kuwapa ujauzito wanafunzi, matumizi mabaya ya madaraka na ubadhirifu wa fedha za umma, biashara haramu ya binadamu na makosa ya ugaidi.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...