09 December, 2014

VIDEO: IDRIS AKIJIBU MASWALI YA MASHABIKI WA AFRIKA MARA BAADA YA USHINDI




Mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan
Mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan

Mara baada ya ushindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan alipata nafasi ya kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa mashabiki wa Afrika ambayo walimuuliza live kupitia Google Hangouts.
Idris ameulizwa maswali mengi likiwepo lihusulo matumizi ya fedha alizoshinda kiasi cha TZS Milioni 514 na angependa  kuendeleza uhusiano na msichana gani kati ya wote aliokuwa nao mjengoni na mengine mengi.
Sikiliza majibu ya Idris hapo juu jinsi alivyojibu ambapo mengi yanafurahisha sana….

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...