
Paka wa ajabu nchini Marekani na anaeaminika kama ni kikongwe zaidi avunja rekodi za Guiness,Paka huyo ambaye amefariki akiwa na miaka 15 kwenye siku ya alhamisi,Decemba 4.Paka huyo ambaye alipewa majina ya Frank na Louie kutokana na kuwa na sura 2, midomo 2,pua 2 na macho matatu.Pia Paka huyo ameshangaza zaidi Dunia hasa kutokana na umri wake, na pia mmiliki wa paka huyo kikonge Bw. Marty Stevens anasema anaamini chanzo cha kifo chake ni kansa.
No comments:
Post a Comment