Imezoeleka kuona uhusiano wa karibu kati ya mzazi na mtoto wake lakini si uhusiano wa mapenzi kama ambavyo binti huyu wa miaka 18 ameamua kufanya kwa kuwa na uhusiano na baba yake mzazi na sasa ametangaza kutaka kufunga nae ndoa. Msichana huyo anayeishi katika mji wa New Jersey ambaye alifanya mahojiano na jarida la New York alieleza kuwa amekua katika mahusiano na baba yake huyo kwa miaka 12 sasa mara baada ya mama yake kufariki na sasa wamemua kuvunja ukimya kwa kufunga ndoa. “Ndugu wa familia yetu kwa upande wa mama walijua tupo na ukaribu kama baba na mtoto wake lakini kwa upande wa ndugu wa baba walijua sisi ni wapenzi na walikua wakituchukulia kama wapenzi wengine,”alisema binti huyo ambaye jina lake halikuweza kuwekwa hadharani. Alisema baada ya kufunga harusi wamepanga kuhama katika mji wa New Jersey ambapo watu wengi wamekua wkaipinga mahusiano yao na kwenda kuishi sehemu nyingine.
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Josephine is passionate, dedicated, reliable, responsible, and hardworking. Team worker and able to face all challenging situations. Can ...
No comments:
Post a Comment