Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
19 January, 2015
MVUA KUBWA INATEGEMEWA KUNYESHA MIKOA YA PWANI, RUVUMA NA MOROGORO
Leo Mamlaka ya hali ya hewa Imetoa taarifa kwa Umma kuwa Kuanzia Januari 18, 2015 Mpaka Januari 20, 2015 Kunategemewa kutokea Mvua Kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24, Maeneo ambayo yanatarajiwa kuhusika ni Maeneo ya Mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi, Morogoro, Pwani, Dar es Salam na Kisiwa cha Unguja.
Sababu za Mvua hiyo ni Kuimarika kwa Mgandamizo mdogo wa Hewa katika Eneo la Bahari ya Hindi mashariki mwa kisiwa cha Madagasca na Hivyo kusababisha ongezeko la unyevunyevu kutoka misitu ya Kongo kuelekea maeneo tajwa hapo juu. Mamlaka Imetoa angalizo kuwa wakazi wa maeneo yaliyotajwa hapo juu na Mamlaka zinazohusika na Maafa wanashauriwa Kuchukua hatua stahiki.
Pia imesisitiza Inaendelea Kufuatilia hali hiyo na itatoa mrejesho pale itakapobidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Josephine is passionate, dedicated, reliable, responsible, and hardworking. Team worker and able to face all challenging situations. Can ...
No comments:
Post a Comment