![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-cNrvIP5PcOkp1N2lHjKhkT9bQf2mXUz0YF1rO0ZElDwnpL59-i0ivGrB8Ho6BkYjvVhNAZ76-01xFe01zIG6cUTok9ti9Smn3v-ux-BVfuxqhWqV2FJ9JdJVe5euVhzVQxSdGneT7li2/s1600-rw/IMG-20150117-WA0028.jpg)
Hapa kazi ya kuchuna ngozi ikiendelea
Huyu nae akichekelea kitoweo cha duma
wakifurahia nyama ya duma
Wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe wakifurahia nyama ya duma aliyeuawa kijiji cha Lupombwe wilayani hapo, ambapo walikwenda kuipika na kuila.
No comments:
Post a Comment