15 January, 2015

WALALAMIKA WATOTO WAO KUHUSISHWA NA "PANYA ROAD"

         Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. 

Idadi ya vijana wanaojihusisha na kundi uhalifu maarufu kama ‘Panya Road’ waliokamatwa imeongezeka kutoka 1,391 kufikia 1,438 jijini Dar es Salaam huku baadhi ya wazazi na wakazi wa Magomeni na Mwenge wakilijia juu Jeshi la Polisi kwa madai kuwa operesheni hiyo inawahusisha wasiohusika. Idadi hiyo imeongezeka katika mkoa wa kipolisi Temeke ambapo kwenye operesheni ya juzi wahalifu hao walikamatwa 47 na kuongeza idadi ya kufikia 1,4 38. Aidha vijana hao walikamatwa ni pamoja na wapiga debe katika vituo vya daladala, wacheza kamari, wavuta bangi, watumiaji wa dawa za kulevya na watumiaji wa gongo. Akizungumza na chanzo cha habari hii jana, Kamanda wa Polisi mkoa wa kipolisi Temeke, Kihenya Kihenya, alisema juzi waliwakamata vijana 47 ambapo idadi Kamili inafikia 289. Hata hivyo  chanzo cha habari hii, iliwatafuta Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Ilala, Mary Nzuki, simu yake ya mkononi iliita bila ya kupokelewa na Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni, Camillius Wambura, alituma ujumbe wa meseji uliosema yupo kwenye kikao. Joyce Mbaruku, mkazi wa Magomeni akizungumza na chanzo cha habari hii, alisema operesheni hiyo inayofanywa na Jeshi la Polisi ni ya uonevu kwani wanakamata watu hovyo bila ya kufanya uchunguzi na kuwahusisha na kundi la ‘Panya road’. Alisema ameshangazwa na taarifa za kukamatwa kwa vijana wake wawili huku wakihusisha na kundi hilo kwani tabia za watoto wake anazijua vizuri na katika mtaa huo walipokamatiwa ni wageni na hawajawafahamu vizuri wenyeji wa mtaa huo. “Taarifa hizi za kukamatwa kwa watoto wangu nimezipata kwa masikitiko makubwa sana kwani vijana wangu katika mtaa huu ni wageni ni juzi tu tumeamia kutoka Shekilango hivyo Jeshi la Polisi linatakiwa kufanya upelelezi kwanza ili kuwabaini watu wanaowatafuta na kuwakamata,” alisema. Filibert Mboya, mkazi wa Mwenge, ameshangazwa na operesheni hiyo kwa kusema vijana wengi waliokamatwa hasa katika maeneo ya Mwenge hawahusiki na kundi hilo la uhalifu. Alisema rafiki zake watatu pamoja na mtoto wa kaka yake walikamatwa katika uwanja wa mpira Mwenge wakiangalia mazoezi ya mpira wa miguu ndipo Polisi walipotokea na kuanza kuwakamata. “Watu waliokuwepo uwanjani baada ya kuona polisi walikimbia sana kwani walipiga risasi za moto mbili juu na nyingine za mabomu hivyo wapita njia na watu waliokuwapo uwanjani hapo walishikwa na butwaa na kuanza kukimbia kila kona hivyo ndugu zangu hao wakakamatwa kutokana na kuzidiwa na moshi wa bomu la machozi,” alisema Mboya. Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alipoulizwa kuhusu malalamiko hayo, alisema siyo ya kweli kwani operesheni hiyo inaendeshwa kwa kufuata taratibu zote na taarifa za vijana wanaokamatwa zinatoka kwa wazazi wao. Aliongeza kuwa kama kuna watakaobainika kutohusika tawaachiwa huru.

WALALAMIKA WATOTO WAO KUHUSISHWA NA "PANYA ROAD" Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Idadi ya vijana wanaojihusisha na kundi uhalifu maarufu kama ‘Panya Road’ waliokamatwa imeongezeka kutoka 1,391 kufikia 1,438 jijini Dar es Salaam huku baadhi ya wazazi na wakazi wa Magomeni na Mwenge wakilijia juu Jeshi la Polisi kwa madai kuwa operesheni hiyo inawahusisha wasiohusika. Idadi hiyo imeongezeka katika mkoa wa kipolisi Temeke ambapo kwenye operesheni ya juzi wahalifu hao walikamatwa 47 na kuongeza idadi ya kufikia 1,4 38. Aidha vijana hao walikamatwa ni pamoja na wapiga debe katika vituo vya daladala, wacheza kamari, wavuta bangi, watumiaji wa dawa za kulevya na watumiaji wa gongo. Akizungumza na NIPASHE jana, Kamanda wa Polisi mkoa wa kipolisi Temeke, Kihenya Kihenya, alisema juzi waliwakamata vijana 47 ambapo idadi Kamili inafikia 289. Hata hivyo NIPASHE iliwatafuta Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Ilala, Mary Nzuki, simu yake ya mkononi iliita bila ya kupokelewa na Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni, Camillius Wambura, alituma ujumbe wa meseji uliosema yupo kwenye kikao. Joyce Mbaruku, mkazi wa Magomeni akizungumza na NIPASHE, alisema operesheni hiyo inayofanywa na Jeshi la Polisi ni ya uonevu kwani wanakamata watu hovyo bila ya kufanya uchunguzi na kuwahusisha na kundi la ‘Panya road’. Alisema ameshangazwa na taarifa za kukamatwa kwa vijana wake wawili huku wakihusisha na kundi hilo kwani tabia za watoto wake anazijua vizuri na katika mtaa huo walipokamatiwa ni wageni na hawajawafahamu vizuri wenyeji wa mtaa huo. “Taarifa hizi za kukamatwa kwa watoto wangu nimezipata kwa masikitiko makubwa sana kwani vijana wangu katika mtaa huu ni wageni ni juzi tu tumeamia kutoka Shekilango hivyo Jeshi la Polisi linatakiwa kufanya upelelezi kwanza ili kuwabaini watu wanaowatafuta na kuwakamata,” alisema. Filibert Mboya, mkazi wa Mwenge, ameshangazwa na operesheni hiyo kwa kusema vijana wengi waliokamatwa hasa katika maeneo ya Mwenge hawahusiki na kundi hilo la uhalifu. Alisema rafiki zake watatu pamoja na mtoto wa kaka yake walikamatwa katika uwanja wa mpira Mwenge wakiangalia mazoezi ya mpira wa miguu ndipo Polisi walipotokea na kuanza kuwakamata. “Watu waliokuwepo uwanjani baada ya kuona polisi walikimbia sana kwani walipiga risasi za moto mbili juu na nyingine za mabomu hivyo wapita njia na watu waliokuwapo uwanjani hapo walishikwa na butwaa na kuanza kukimbia kila kona hivyo ndugu zangu hao wakakamatwa kutokana na kuzidiwa na moshi wa bomu la machozi,” alisema Mboya. Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alipoulizwa kuhusu malalamiko hayo, alisema siyo ya kweli kwani operesheni hiyo inaendeshwa kwa kufuata taratibu zote na taarifa za vijana wanaokamatwa zinatoka kwa wazazi wao. Aliongeza kuwa kama kuna watakaobainika kutohusika tawaachiwa huru. NIPASHE.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
WATANZANIA WANYONGWA KWA MIHADARATI Kasisi mmoja raia wa Australia amefichua na kuthibitisha kuwa kuna idadi kubwa ya wafungwa wenye asili ya Afrika katika magereza ya Hong Kong, wengi wao wakiwa ni kutoka Tanzania. Kasisi huyo John Wortherspoon ambaye kwa sasa anafanya ziara maalum Tanzania, amesema yeye ndiye ambaye amekuwa akisambaza barua zinazodaiwa kuandikwa na wafungwa wanaoshikiliwa kwenye magereza hayo ambapo baadhi yao wametaja majina ya watu wanaodaiwa kuwa wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya waliowatuma kusafirisha dawa hizo. Padre Wotherspoon amefika kuonana na familia za wafungwa hao pamoja na idara za serikali zinazohusika na mapambano dhidi ya biashara hiyo hatari ya dawa za kulevya. Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam alifuatialia habari na kugundua kwambha kwa muda sasa barua zimekuwa zikichapishwa kwenye mtandao zikielezea maisha ya wafungwa walionaswa na mamlaka za Hong Kong. Sasa Padre Wotherspoon amejitokeza hapa Tanzania na kusimulia zaidi maisha aliyowakuta nao wafungwa hao ambao amekuwa akiwatembelea gerezani na kuwaunganisha kwa mawasiliano na ndugu zao. 'Padre anayejitolea' Akizungumza na BBC, Padre Wotherspoon, ambaye anajitolea kazi ya kuelimisha vijana kuhusu madhara ya biashara hiyo haramu na hatari, amesema zaidi ya Watanzania mia moja wanashikiliwa katika magereza za mamlaka ya Hong Kong kwa makosa ya kuingiza dawa za kulevya katika eneo hilo licha ya adhabu ya kifungo cha maisha au kifo kwa watu wanaokamatwa, lakini ni kwa nini aliamua kubeba jukumu hilo? "Waafrika wengi walinyongwa katika kipindi cha miaka miaka mitatu iliyopita. Ni idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na kunyongwa. Kwa hiyo niliogopa sana. Nilijaribu kuwapata wahusika wenyewe wawambie watu kwamba wasijaribu kupeleka dawa za kulevya Hong Kong, Macau, China. Lakini waliendelea kuja.Wiki moja mwezi Julai 2013, saba walikamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong katika wiki moja. Katika hali hiyo nilipata ruhusa kutoka mamlaka ya magereza kuwawezesha baadhi ya wafungwa kuandika barua katika mtandao wetu kuwaonya watu nchini Tanzania na sehemu nyingine barani Afrika kuhusu hatari ya kusafirisha dawa za Kulevya kwenda Hong Kong, '' alisema padri huyo. Baada ya kubaini hali hiyo Father John aliwatembelea magerezani huko Hong Kong na kuwaonya juu ya hatari inayowakabili vijana wengi barani Afrika. Lakini huwa anawaambia nini vijana hao mara anapowatembelea. ''Ninawaambia andikeni kwa marafiki zenu, familia zenu, makanisa yenu, wanasiasa wenu vyombo vyenu vya habari waambieni watu waache kuleta dawa za kulevya Hong Kong kwa sababu wengi walidanganywa, waliambiwa kuwa ni rahisi kuingiza dawa za kulevya Hong Kong. Lakini ukweli ni kwamba ni vigumu sana na waliambiwa ukikamatwa utafungwa kifungo cha miaka miwili lakini ukweli ni kwamba kifungo cha chini ni miaka saba au nane.'' 'Vijana wanavyorubuniwa' Hata hivyo Father Wotherspoon anasema alichobaini ni kwamba licha ya tamaa ya utajiri wa haraka haraka, wengi wa vijana hao au wote walirubuniwa na vigogo wa biashara hiyo kwa kuwabebesha dawa za kulevya ili tu wakidhi mahitaji yao ya lazima kama kutunza familia zao. Amesema baada ya kuanza kampeni hiyo mwaka 2013 idadi ya vijana wanaokamatwa imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na baadhi ya vyombo vya habari nchini Tanzania kunasa habari kutoka tovuti ya Father John ya v2catholic.com na habari hizo kusambaa haraka, ambapo amesema badala ya kuwakamata watu watatu wanne,watano kwa wiki, kwa kuanzia miezi minane 2013, ni mtu mmoja tu alikamatwa kwa karibu miezi minane katika uwanja wa ndege wa Hong Kong. Father John anasema vigogo wa biashara ya dawa za kulevya wamekuwa wakibuni mbinu mpya kwa kuwatumia watu kutoka vijijini badala ya mijini kwa sababu watu wa vijijini hawajui hatari ya biashara hiyo au waliambiwa dakika za mwisho wakiwa uwanja wa ndege kuwa ni nchi gani walitaiwa kwenda na dawa hizo. Baada ya kuwasili Tanzania amekutana na familia mbalimbali za wafungwa magereza za Hong Kong. Saleh ni ndugu wa mmoja wa wafungwa na anaeleza hisia walizopata kama familia mara baada ya kukutana na Father Wotherspoon. BBC imekutana na Kamishna wa kikosi cha kudhibiti dawa za kulevya nchini Tanzania, Godfrey Nzowa ambaye amesema jitihada zinazochukuliwa na makundi mbalimbali pamoja na watu binafsi katika kuwaelimisha watu hatari ya dawa hizo ambapo mwaka jana pekee walikamata kilo mia nne za dawa za kulevya aina ya heroin na kuokoa maisha ya watumiaji karibu milioni saba ili wasiweze kuzipata na kutumia. Na kuhusu namna wanavyokabiliana na watu wanaodaiwa kuwa vigogo wa dawa za kulevya Kamishna Nzowa anaeleza namna wanavyopambana nao pindi wanapopata majina ya watu hao. VIA-BBC SWAHILI.

WATANZANIA WANYONGWA KWA MIHADARATI Kasisi mmoja raia wa Australia amefichua na kuthibitisha kuwa kuna idadi kubwa ya wafungwa wenye asili ya Afrika katika magereza ya Hong Kong, wengi wao wakiwa ni kutoka Tanzania. Kasisi huyo John Wortherspoon ambaye kwa sasa anafanya ziara maalum Tanzania, amesema yeye ndiye ambaye amekuwa akisambaza barua zinazodaiwa kuandikwa na wafungwa wanaoshikiliwa kwenye magereza hayo ambapo baadhi yao wametaja majina ya watu wanaodaiwa kuwa wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya waliowatuma kusafirisha dawa hizo. Padre Wotherspoon amefika kuonana na familia za wafungwa hao pamoja na idara za serikali zinazohusika na mapambano dhidi ya biashara hiyo hatari ya dawa za kulevya. Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam alifuatialia habari na kugundua kwambha kwa muda sasa barua zimekuwa zikichapishwa kwenye mtandao zikielezea maisha ya wafungwa walionaswa na mamlaka za Hong Kong. Sasa Padre Wotherspoon amejitokeza hapa Tanzania na kusimulia zaidi maisha aliyowakuta nao wafungwa hao ambao amekuwa akiwatembelea gerezani na kuwaunganisha kwa mawasiliano na ndugu zao. 'Padre anayejitolea' Akizungumza na BBC, Padre Wotherspoon, ambaye anajitolea kazi ya kuelimisha vijana kuhusu madhara ya biashara hiyo haramu na hatari, amesema zaidi ya Watanzania mia moja wanashikiliwa katika magereza za mamlaka ya Hong Kong kwa makosa ya kuingiza dawa za kulevya katika eneo hilo licha ya adhabu ya kifungo cha maisha au kifo kwa watu wanaokamatwa, lakini ni kwa nini aliamua kubeba jukumu hilo? "Waafrika wengi walinyongwa katika kipindi cha miaka miaka mitatu iliyopita. Ni idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na kunyongwa. Kwa hiyo niliogopa sana. Nilijaribu kuwapata wahusika wenyewe wawambie watu kwamba wasijaribu kupeleka dawa za kulevya Hong Kong, Macau, China. Lakini waliendelea kuja.Wiki moja mwezi Julai 2013, saba walikamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong katika wiki moja. Katika hali hiyo nilipata ruhusa kutoka mamlaka ya magereza kuwawezesha baadhi ya wafungwa kuandika barua katika mtandao wetu kuwaonya watu nchini Tanzania na sehemu nyingine barani Afrika kuhusu hatari ya kusafirisha dawa za Kulevya kwenda Hong Kong, '' alisema padri huyo. Baada ya kubaini hali hiyo Father John aliwatembelea magerezani huko Hong Kong na kuwaonya juu ya hatari inayowakabili vijana wengi barani Afrika. Lakini huwa anawaambia nini vijana hao mara anapowatembelea. ''Ninawaambia andikeni kwa marafiki zenu, familia zenu, makanisa yenu, wanasiasa wenu vyombo vyenu vya habari waambieni watu waache kuleta dawa za kulevya Hong Kong kwa sababu wengi walidanganywa, waliambiwa kuwa ni rahisi kuingiza dawa za kulevya Hong Kong. Lakini ukweli ni kwamba ni vigumu sana na waliambiwa ukikamatwa utafungwa kifungo cha miaka miwili lakini ukweli ni kwamba kifungo cha chini ni miaka saba au nane.'' 'Vijana wanavyorubuniwa' Hata hivyo Father Wotherspoon anasema alichobaini ni kwamba licha ya tamaa ya utajiri wa haraka haraka, wengi wa vijana hao au wote walirubuniwa na vigogo wa biashara hiyo kwa kuwabebesha dawa za kulevya ili tu wakidhi mahitaji yao ya lazima kama kutunza familia zao. Amesema baada ya kuanza kampeni hiyo mwaka 2013 idadi ya vijana wanaokamatwa imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na baadhi ya vyombo vya habari nchini Tanzania kunasa habari kutoka tovuti ya Father John ya v2catholic.com na habari hizo kusambaa haraka, ambapo amesema badala ya kuwakamata watu watatu wanne,watano kwa wiki, kwa kuanzia miezi minane 2013, ni mtu mmoja tu alikamatwa kwa karibu miezi minane katika uwanja wa ndege wa Hong Kong. Father John anasema vigogo wa biashara ya dawa za kulevya wamekuwa wakibuni mbinu mpya kwa kuwatumia watu kutoka vijijini badala ya mijini kwa sababu watu wa vijijini hawajui hatari ya biashara hiyo

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
WATANZANIA WANYONGWA KWA MIHADARATI Kasisi mmoja raia wa Australia amefichua na kuthibitisha kuwa kuna idadi kubwa ya wafungwa wenye asili ya Afrika katika magereza ya Hong Kong, wengi wao wakiwa ni kutoka Tanzania. Kasisi huyo John Wortherspoon ambaye kwa sasa anafanya ziara maalum Tanzania, amesema yeye ndiye ambaye amekuwa akisambaza barua zinazodaiwa kuandikwa na wafungwa wanaoshikiliwa kwenye magereza hayo ambapo baadhi yao wametaja majina ya watu wanaodaiwa kuwa wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya waliowatuma kusafirisha dawa hizo. Padre Wotherspoon amefika kuonana na familia za wafungwa hao pamoja na idara za serikali zinazohusika na mapambano dhidi ya biashara hiyo hatari ya dawa za kulevya. Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam alifuatialia habari na kugundua kwambha kwa muda sasa barua zimekuwa zikichapishwa kwenye mtandao zikielezea maisha ya wafungwa walionaswa na mamlaka za Hong Kong. Sasa Padre Wotherspoon amejitokeza hapa Tanzania na kusimulia zaidi maisha aliyowakuta nao wafungwa hao ambao amekuwa akiwatembelea gerezani na kuwaunganisha kwa mawasiliano na ndugu zao. 'Padre anayejitolea' Akizungumza na BBC, Padre Wotherspoon, ambaye anajitolea kazi ya kuelimisha vijana kuhusu madhara ya biashara hiyo haramu na hatari, amesema zaidi ya Watanzania mia moja wanashikiliwa katika magereza za mamlaka ya Hong Kong kwa makosa ya kuingiza dawa za kulevya katika eneo hilo licha ya adhabu ya kifungo cha maisha au kifo kwa watu wanaokamatwa, lakini ni kwa nini aliamua kubeba jukumu hilo? "Waafrika wengi walinyongwa katika kipindi cha miaka miaka mitatu iliyopita. Ni idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na kunyongwa. Kwa hiyo niliogopa sana. Nilijaribu kuwapata wahusika wenyewe wawambie watu kwamba wasijaribu kupeleka dawa za kulevya Hong Kong, Macau, China. Lakini waliendelea kuja.Wiki moja mwezi Julai 2013, saba walikamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong katika wiki moja. Katika hali hiyo nilipata ruhusa kutoka mamlaka ya magereza kuwawezesha baadhi ya wafungwa kuandika barua katika mtandao wetu kuwaonya watu nchini Tanzania na sehemu nyingine barani Afrika kuhusu hatari ya kusafirisha dawa za Kulevya kwenda Hong Kong, '' alisema padri huyo. Baada ya kubaini hali hiyo Father John aliwatembelea magerezani huko Hong Kong na kuwaonya juu ya hatari inayowakabili vijana wengi barani Afrika. Lakini huwa anawaambia nini vijana hao mara anapowatembelea. ''Ninawaambia andikeni kwa marafiki zenu, familia zenu, makanisa yenu, wanasiasa wenu vyombo vyenu vya habari waambieni watu waache kuleta dawa za kulevya Hong Kong kwa sababu wengi walidanganywa, waliambiwa kuwa ni rahisi kuingiza dawa za kulevya Hong Kong. Lakini ukweli ni kwamba ni vigumu sana na waliambiwa ukikamatwa utafungwa kifungo cha miaka miwili lakini ukweli ni kwamba kifungo cha chini ni miaka saba au nane.'' 'Vijana wanavyorubuniwa' Hata hivyo Father Wotherspoon anasema alichobaini ni kwamba licha ya tamaa ya utajiri wa haraka haraka, wengi wa vijana hao au wote walirubuniwa na vigogo wa biashara hiyo kwa kuwabebesha dawa za kulevya ili tu wakidhi mahitaji yao ya lazima kama kutunza familia zao. Amesema baada ya kuanza kampeni hiyo mwaka 2013 idadi ya vijana wanaokamatwa imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na baadhi ya vyombo vya habari nchini Tanzania kunasa habari kutoka tovuti ya Father John ya v2catholic.com na habari hizo kusambaa haraka, ambapo amesema badala ya kuwakamata watu watatu wanne,watano kwa wiki, kwa kuanzia miezi minane 2013, ni mtu mmoja tu alikamatwa kwa karibu miezi minane katika uwanja wa ndege wa Hong Kong. Father John anasema vigogo wa biashara ya dawa za kulevya wamekuwa wakibuni mbinu mpya kwa kuwatumia watu kutoka vijijini badala ya mijini kwa sababu watu wa vijijini hawajui hatari ya biashara hiyo au waliambiwa dakika za mwisho wakiwa uwanja wa ndege kuwa ni nchi gani walitaiwa kwenda na dawa hizo. Baada ya kuwasili Tanzania amekutana na familia mbalimbali za wafungwa magereza za Hong Kong. Saleh ni ndugu wa mmoja wa wafungwa na anaeleza hisia walizopata kama familia mara baada ya kukutana na Father Wotherspoon. BBC imekutana na Kamishna wa kikosi cha kudhibiti dawa za kulevya nchini Tanzania, Godfrey Nzowa ambaye amesema jitihada zinazochukuliwa na makundi mbalimbali pamoja na watu binafsi katika kuwaelimisha watu hatari ya dawa hizo ambapo mwaka jana pekee walikamata kilo mia nne za dawa za kulevya aina ya heroin na kuokoa maisha ya watumiaji karibu milioni saba ili wasiweze kuzipata na kutumia. Na kuhusu namna wanavyokabiliana na watu wanaodaiwa kuwa vigogo wa dawa za kulevya Kamishna Nzowa anaeleza namna wanavyopambana nao pindi wanapopata majina ya watu hao. VIA-BBC SWAHILI.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...