21 January, 2015

WEMA AKANA KUWA NA MAHUSIANO NA MWANAMITINDO ALLY DAXX













Kuna tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini, Ally Daxx.






















Mwanamitindo Ally Dax. 


Mwanamitindo Ally Dax. Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote,Wema amekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.


No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...