Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jokate Mwegelo amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata
Kupitia show ya weekend “the playlist” Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince
“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema Jokate
Hata hivyo Jokate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemvizia.
No comments:
Post a Comment