Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
28 April, 2015
MAJIBU ALIYOTOA ROSE NDAUKA BAADA YA KUHUSISHWA NA MATATIZO YA NDOA YA SHETTA!
Baada ya kuenea kwa taarifa kuwa ndoa ya msanii wa bongo fleva, Shetta imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa msanii huyo anamahusiano na staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka amefunguka
“Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli kile ambacho amesikia ni ukweli yeye kama mwanamke anapaswa kuwa strong asiondolewe nyumbani kwake kwa sababu ya mwanamke mwingine..“
Madai ya Rose Ndauka na Shetta kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi yalipata nguvu baada ya wawili hao kudaiwa kulala chumba kimoja hotelini wakiwa mjini Morogoro walipokuwa msibani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Josephine is passionate, dedicated, reliable, responsible, and hardworking. Team worker and able to face all challenging situations. Can ...
No comments:
Post a Comment