27 April, 2015

KAULI NZITO ALIYOTOA BILIONEA MENGI KUHUSU KUAMUA KUMUOA MSANII KYLN!!



Dk. Reginald Mengi akiwa na Familia yake

 Dr. Reginald Mengi alipoulizwa kwanini umemuoa Jackline alijubu hivi: Nimemwoa Jackline kwasababu yuko tofauti na wanawake wengine ambao nimeshawahi kuwa nao.
1. Jackline ananipikia chakula kuanzia chai, lunch mpaka dinner.
2. Jackline ananifulia nguo zangu kwa mikono yake sio mashine
3.Jackline anajua nafasi ya mwanaume na nafasi ya mwanamke kwenye nyumba.
4. Jackline ananipenda ndio mana ananifanyia vitu ambavyo wanaume wengi tunapenda kufanyiwa hasa unyenyekevu wake kwangu.
5. Jackline tofauti na watu wengi wanavyomchukulia hakufuata pesa kwangu bali ana mapenzi ya dhati na mimi

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...