27 April, 2015

MZEE MAJUTO AFUNGA NDOA NA MJUKUU WAKE!

Mzee Majuto Afunguka Kuoa Mjukuu Wake!

Mzee Majuto Afunguka Kuoa Mjukuu Wake!
Staa  mkongwe kutoka Bongo Movies, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amegeuka mbogo baada kuulizwa juu ya madai ya kuoa binti mdogo ambaye ni sawa na mjukuu wake mwenye umri wa miaka 18 akidai kuwa sheria ya dini inamruhusu kufunga ndoa wa wake wanne.
Akizungumza na chanzo cha habari hii, Mzee Majuto ambaye awali alionesha kuwa na jazba alifunguka:
“Hilo suala haliwahusu wala na si jambo la ajabu kabisa kwa sababu mimi ni mwanaume wa Kiislamu, sheria ya dini inaniruhusu kuoa mke wa kwanza wa pili wa tatu hadi wanne,” alisema Majuto

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...