CEO wa Endless Fame Wema Sepetu amekula donge nono la kuwa balozi wa hospitali ya kimataifa ya macho kwa muda wa mwaka mmoja...
Kupitia ukurasa wa Instagram meneja wa msanii huyo @martinkadinda alipost picha ikiambatana na maneno haya...
"Mrembo
wa Tanzania, muigizaji na mjasiriamali Wema Sepetu, Amesign makubaliano
ya kuwa Balozi wa Hospital Ya Kimataifa Ya macho Iliyopo Ali hassan
mwinyi Road katika jengo la Tropical House…..#mkataba huu wa ni wa mwaka
mmoja.. Wema amehaidi kuwa balozi wa hospitali hiyo iliyokuja na
mitambo mpya ambayo itawezesha vijana wenye umri chini ya miaka 35
wanaotumia miwani kuacha kabisa utumiaji wa miwani kwakuwa wanauwezo wa
kuondoa swala la uvaaji miwani kwa vijana.."
No comments:
Post a Comment