27 April, 2015

PICHA YA WEMA AKIWA HOSPITALINI YASHTUA WENGI!







 

  • Wengi Wauliza Kama ndo Ameanza Matibabu ya Kupata Mtoto Ama la!?



Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Project ya Movie! Picha zinaonyesha Mazingira ya Hospitalini akihudumiwa na Manesi....

Mashabiki wake wengi leo wanauliza Je ndio Matibabu ya Kupata Mtoto yameanza ?
Hii imekuja baada ya habari kuzagaa kuwa Waganga mbali mbali wamejitokeza Kumsaidia ili kutatua tatizo lake la kutopata ujauzito..

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...