12 May, 2015

BAADA YA WEMA KUPROMOTE WATU WAMPIGIE KURA ALI KIBA, DIAMOND AZIPONDA TUZO ZA KILI AWARDS!

Ki ukweli nahisi hawa wawili bado wanawindana japo wameachana , ni kama wanafuatiliziana nyendo zao na kujaribu kuumizana kwa njia moja ama nyingine huku wakijaribu kuonyesha kila mmoja ame move on ...

Embu ona hiii : Wema Sasa amekuja na nguvu zote anamtangaza Ali Kiba Kwenye Instagram yake na Kuomba watu wampigie kura kushinda Kill Music Awards wakati akijua kabisa Ali Kiba na  Diamond haziivi ...

Baada ya Muda Diamond Anaibuka na Kuziponda Vibaya Tuzo za Kill Awards Kama Univyosomeka Hapa Chini:

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...