29 June, 2015

BREAKING NEWZZ....LOWASA AFANYIWA FITINA PWANI..OFISI ZAFUNGWA ABAKI NJE YA OFISI TAZAMA PICHA

 
Kuna kila dalili kuwa katibu wa Wiaya ya Kibaha Vijijini ni Team Fulani . Kitendo cha kukimbia kinaonesha ametumwa kufanya hivyo, na amekubali kutekeleza jambo la kijinga kiasi hicho, jambo ambalo ni la kukidhalilisha Chama Cha Mapinduzi mbele ya watanzania na mbele ya wanachama wake maelfu waliojitokeza kumdhamini mwanachama mwenzao.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...